Jarida la Habari

Jarida la Umoja wa Mataifa Julai 10, 2019

Jumuiya ya kimataifa ina wajibu wa kuisaidia Afrika kukabili ugaidi asema Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres akiwa ziarani nchini Kenya.  Ingawa  Tanzania tumepiga hatua  bado tuna safari ndefu kutimiza lengo la elimu asema John Kalage wa Haki Elimu.  Kutoa ni moyo,

Sauti -
11'59"

09 Julai 2019

Jaridani Julia 9, 2019 na Flora Nducha-

-Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Antonio Guterres yuko ziarani nchini Kenya ambako leo Jumanne ametembelea eneo la Kamukunji katika mji mkuu  Nairobi kwa ajili ya kukutana na vijana. 

Sauti -
12'55"

08 jULAI 2019

Jaridani leo Jumatatu ya Julai 8, 2019 na Flora Nudhc pata habari kuhusu:

-Mahakama ya kimataifa ya uhalifu ICC leo imemtia hatiani kiongozi wa zamani wa waasi John Bosco Ntaganda kwa makosa ya uhalifu wa kivita na uhalifu dhidi ya binaadamu nchini Jamuhuri ya Kidemokrasia ya Congo.

Sauti -
12'58"

05 Julai 2019

Leo Ijumaa Grace Kaneiya anakuletea sehemu ya pili ya mada kwa kina kuhusu ugonjwa wa Kifafa. Je wafahamu dalili za mtu anayekaribia kuanguka kwa kifafa? Je Kifafa kinatibika? Na je  nini basi kifanyike? Mtaalamu wetu ni Daktari Juma Magogo Mzimbiri kutoka Tanzania.

Sauti -
10'39"

04 Julai 2019

Sikiliza Jarida Maalum la Alhamisi Julai, 4, 2019 leo ikiwa ni siku ya mapumziko hapa Marekani likiangazia -

HABARI KWA UFUPI

-Utafiti wa shirika la kazi ulimwenguni, ILO unaonyesha kwamba ukosefu wa usawa ni wa viwango vya juu katika ulimwengu wa kazi.

Sauti -
10'47"

03 Julai 2019

Hii leo jaridani, Grace Kaneiya anaanza na shambulio kwenye kituo cha wahamiaji na wakimbizi huko Libya ambalo UN inasema linaweza kuwa uhalifu wa kivita.

Sauti -
10'44"

02 Julai 2019

Hii leo jaridani Grace Kaneiya anaanzia nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, DRC ambako shirika la mpango wa chakula duniani, WFP limelazimika kuongeza operesheni zake za mgao wa chakula kutokana na ghasia zaidi za kikabila.

Sauti -
10'57"

01 Julai 2019

Katika Jarida la Habari hii leo Flora Nducha anakuletea

-Ongezeko la joto kuwa kikwazo kikubwa katika utendaji kazi ifikapo mwaka 2030 laonya leo shirika la kazi Duniani ILO.

Sauti -
12'25"

28 Juni 2019

Ijumaa kama kawaida tuna muhtasari wa habari na kubwa zaidi ni mauaji ya watu 117 huko Ituri nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, DRC kufuatia mapigano kati ya kabila la walendu na wahema, mauaji hayo ni kati ya tarehe 10 na 13 mwezi huu wa Juni.

Sauti -
9'57"

26 Juni 2019

Leo siku ya kimataifa ya kupiga vita matumizi na usafirishaji wa madawa ya kulevvya tunaanzia nchini Tanzania ambako vituo vya Back To Life vya kusaidia waathirika wa madawa ya kulevya vimekuwa msaada mkubwa kwa kundi hilo.

Sauti -
12'33"