Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Jarida la Habari

14 Agosti 2020

Jaridani la Umoja wa Mataifa Ijumaa ya leo na Assumpta Massoi
- Leo kenye mada yetu kwa kina  tunaangazia harakati za vijana katika kulifikia lengo namba 16 la maendeleo endelevu, SDG ambalo linapigia chepuo masuala ya haki, utawala bora na taasisi thabiti.
-Leo Agosti 14, imetimia miezi sita tangu kuthibitika kwa mgonjwa wakwanza wa COVID-19 barani Afrika.
Sauti
11'52"

11 Agosti 2020

Jaridani la Umoja wa Mataifa hii leo na Assumpta Massoi 
- Shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia wakimbizi UNHCR, limesema limeshtushwa na taarifa kwamba milingoni mwa watu zaidi ya 200 waliopoteza misha kwenye mlipuko mkubwa wa Beirut uliotokea Agosti 4 nchini Lebanon wanajumuisha wakimbizi angalau 34 hadi sasa.
 - Shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia watoto UNICEF linatoa msaada muhimu wa kibinadamu kwa watu 40,000 ambao wamekimbia machafuko ya kikabila katika eneo la milimani la Kivu Kusini nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo DRC.
Sauti
14'49"

10 Agosti 2020

Jaridani la Umoja wa Mataifa hii leo na Assumpta Massoi 
- Shirka la Umoja wa mataifa la kuhudumia wakimbizi (UNHCR) nchini Uganda leo limesema limesikitishwa na kifo cha kwanza kabisa cha mkimbizi kutokana na virusi vya corona au COVID-19 tangu mlipuko huo utangazwe nchini humo mnamo Machi mwaka huu.
-Mashirika ya Umoja wa Mataifa yaendelea na juhudi za kuokoa maisha Beirut 
- Watafiti wa malaria barani Afrika wameonya kuwa huenda bara hilo likajikuta katika hali ngumu ya kupambaan na ugonjwa wa malaria unao
Sauti
11'47"

07 Agosti 2020

Jaridani la Umoja wa Mataifa hii leo na Assumpta Massoi 
- Leo ikiwa ni Ijumaa ni mada kwa kina ambapo tutamulika unyonyeshaji wa mtoto maziwa ya mama kwa kuzingatia kuwa tuko
katika wiki ya unyonyeshaji duniani
 - Shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia wakimbizi, UNHCR na wadau wanaharakisha hatua za kusaidia serikali ya Lebanon baada ya mlipuko wa jumanne huko Beiruti.
- Mashirika ya Umoja wa Mataifa  IOM na UNHCR, wamehuzunishwa na vifo vya watu 27 vilivyotokea baada ya boti walimokuwa wakisafiria kuzama karibu na pwani ya Afrika Magharibi.

Sauti
9'51"

06 Agosti 2020

Jaridani la Umoja wa Mataifa hii leo na Assumpta Massoi 
- Shirika la  mpango wa chakula duniani   WFP wajitosa kuisaidia Lebanon kwani bila bandari ya Beirut, hali itakuwa mbaya zaidi Lebanon
 - Ikiwa leo ni miaka 75 tangu tukio bomu  la Hiroshima nchini Japan, Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres amesema njia pekee ya kuondokana na tishio la nyuklia ni kutokomeza silaha za nyuklia.
- Wanawake wafungwa katika gereza la Bimbo wa Jamhuri ya Afrika ya Kati, CAR, Bangui watanufaika na mradi wa ujumui
Sauti
11'46"

05 Agosti 2020

Jaridani la Umoja wa Mataifa hii leo na Assumpta Massoi 
-Lebanon,iko katika siku ya maombolezo kufuatia mlipuko mkubwa wa jana katika mji mkuu Beirut UNIFIL iko tayari kusaidia.
 - Nchini Niger, shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia watoto, UNICEF linashirikiana na wadau kutekeleza mbinu za haraka za kukabiliana na utapiamlo uliokithiri miongoni mwa watoto .
- Takwimu za shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia wakimbizi UNHCR zinaonesha kuwa theluthi mbili ya raia milioni mbili wa Sudan Kusini wanaoishi uhamishoni, ni watoto.
Sauti
11'52"

04 August 2020

Jaridani la Umoja wa Mataifa hii leo na Assumpta Massoi
 -Janga la ugonjwa wa virusi vya Corona au COVID-19 likiendelea kuripotiwa maeneo mbalimbali duniani, Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres  amesema tuchukue maamuzi ya kijasiri kunusuru masomo wakati huu wa COVID-19.
-Shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia wakimbizi, UNHCR limelaani vikali mauaji ya watu wapitao 18 katika kambi ya muda ya kuhifadhi wakimbizi wa ndani nchini Cameroon  

-Mkimbizi kutoka Syria anayeishi katika kambi ya wakimbizi ya Za’atari nchini Jorda

Sauti
11'4"

03 Agosti 2020

Jaridani la Umoja wa Mataifa hii leo.
-Mfuko wa Umoja wa Mataifa wa maendeleo ya kilimo IFAD umesema misaada ya kibinadamu pekee haitoshi kushughulikia janga la COVID-19
-Janga la ugonjwa wa virusi vya Corona, COVID-19 nchini Kenya limekuwa na athari kwa sekta ya uhifadhi wa wanyamapori na hivyo kuweka hatarini mustakabali wa wanyamapori kwenye hifadhi.

-UNICEF na IKEA wasaidia kuboresha lishe ya mama na mtoto India 

Sauti
11'50"