Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

05 Agosti 2020

05 Agosti 2020

Pakua
Jaridani la Umoja wa Mataifa hii leo na Assumpta Massoi 
-Lebanon,iko katika siku ya maombolezo kufuatia mlipuko mkubwa wa jana katika mji mkuu Beirut UNIFIL iko tayari kusaidia.
 - Nchini Niger, shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia watoto, UNICEF linashirikiana na wadau kutekeleza mbinu za haraka za kukabiliana na utapiamlo uliokithiri miongoni mwa watoto .
- Takwimu za shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia wakimbizi UNHCR zinaonesha kuwa theluthi mbili ya raia milioni mbili wa Sudan Kusini wanaoishi uhamishoni, ni watoto.

-Na leo kwenye Makala nchini Tanzania kusikia kuhusu harakati za kuokoa mazingira ya mkoani Morogoro.

-Na kwenye  mashinani leo  tutakwenda  nchini Tanzania kuona jinsi taasisi ya Aurateen inapatia vijana jukwaa la kutambua masuala ya afya ya uzazi Karibu!

 

 

 

 

Audio Credit
Assumpta Massoi
Sauti
11'52"