Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

11 Agosti 2020

11 Agosti 2020

Pakua
Jaridani la Umoja wa Mataifa hii leo na Assumpta Massoi 
- Shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia wakimbizi UNHCR, limesema limeshtushwa na taarifa kwamba milingoni mwa watu zaidi ya 200 waliopoteza misha kwenye mlipuko mkubwa wa Beirut uliotokea Agosti 4 nchini Lebanon wanajumuisha wakimbizi angalau 34 hadi sasa.
 - Shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia watoto UNICEF linatoa msaada muhimu wa kibinadamu kwa watu 40,000 ambao wamekimbia machafuko ya kikabila katika eneo la milimani la Kivu Kusini nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo DRC.
-  Mchango wa vijana kuleta mabadiliko Tanzania ni mkubwa:Restless Development 

- Na kwenye makala  tutazikia shukrani za Hilda Amedhastone Phoya kwa Kituo cha habari cha Umoja wa Mataifa, UNIC Dar es Salaam Tanzania, kwa kumpa nafasi ya mafunzo kwa vitendo.

-Na leo mashinani tutakwenda nchini Tanzania ambapo tutasikia kutoka kwa  mtoto wa kike mbunifu Karibu!.
Audio Credit
Assumpta Massoi
Audio Duration
14'49"