Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

03 Agosti 2020

03 Agosti 2020

Pakua
Jaridani la Umoja wa Mataifa hii leo.
-Mfuko wa Umoja wa Mataifa wa maendeleo ya kilimo IFAD umesema misaada ya kibinadamu pekee haitoshi kushughulikia janga la COVID-19
-Janga la ugonjwa wa virusi vya Corona, COVID-19 nchini Kenya limekuwa na athari kwa sekta ya uhifadhi wa wanyamapori na hivyo kuweka hatarini mustakabali wa wanyamapori kwenye hifadhi.

-UNICEF na IKEA wasaidia kuboresha lishe ya mama na mtoto India 

-Na leo kwenye Makala tutakwenda Zanzibar nchini Tanzania kumulika harakati za wanawake wa kikundi cha Mwanzo Mgumu za kuimarisha lishe kwa watoto wao

-Na kwenye  mashinani leo  tutakwenda  nchini  Rwanda kusikia ujumbe kutoka kwa Shirika la Umoja wa Mataifa la maendeleo UNDP, kuhusu watu wenye ulemavu

 

 

 

 

 

 

 

 

 
 
Audio Credit
Assumpta Massoi
Audio Duration
11'50"