Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Habari kwa Ujumla

Photo: WFP Sri Lanka/Hamish Appleby

Kutoka familia maskini, kigori 1 kati ya 3 hawajawahi kwenda shule: UNICEF

Karibu msichana mmoja kigori kati ya watatu kutoka familia maskini kote duniani, hawajawai kwenda shule kwa mujibu ripoti mpya ya shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia Watoto UNICEF iliyozinduliwa leo wakati ambapo mawaziri wa elimu wanakusanyika kwenye mkutano wa dunia wa elimu kabla ya viongozi nao kukusanyika kwa mkutano wa kila mwaka kuhusu uchumi.

Sauti
1'46"