Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

WHO yaonya uvutaji tumbaku unaongeza hatari ya madhila baada ya upasuaji

WHO yaonya uvutaji tumbaku unaongeza hatari ya madhila baada ya upasuaji

Pakua

Wavutaji wa bidhaa za tumbaku wako katika hatari kubwa ya kupata madhila zaidi baada ya kufanyiwa upasuaji kuliko wasiovuta bidhaa hizo limeonya shirika la afya duniani WHO.

Audio Credit
Grace Kaneiya
Audio Duration
1'52"
Photo Credit
World Bank/Curt Carnemark