Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

WFP yazindua jukwaa la kidijitali la kukusanya takwimu kuhusu njaa na mzozo duniani

WFP yazindua jukwaa la kidijitali la kukusanya takwimu kuhusu njaa na mzozo duniani

Pakua

Shirika la Umoja wa Mataifa la mpango wa chakula duniani WFP leo limezindua jukwaa la kihistoria la kidijitali HungerMapLIVE, ambalo litakusanya takwimu muhimu kuhusu hali ya uhakika wa chakula katika nchi zaidi ya 90 duniani.

Audio Credit
Priscilla Lecomte
Audio Duration
1'54"
Photo Credit
OCHA/Franck Kuwonu