Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

UNAIDS yasema afya bora si haki ya matajiri pekee, bali kila mtu.

UNAIDS yasema afya bora si haki ya matajiri pekee, bali kila mtu.

Pakua

Shirika la Umoja wa Mataifa la kutokomeza Ukimwi, UNAIDS linatoa wito kwa serikali kuhakikisha kuwa haki ya afya kwa wote inazingatiwa kwa kupatia  kipaumbele uwekezaji wa umma katika sekta ya afya.

Audio Credit
Anold Kayanda
Sauti
1'25"
Photo Credit
World Bank/Binyam Teshome