Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Kilimo cha “tangulia nakuja” sasa basi Kigoma nchini Tanzania

Kilimo cha “tangulia nakuja” sasa basi Kigoma nchini Tanzania

Pakua

Katika mkoa wa Kigoma nchini Tanzania ambako Umoja wa Mataifa unatekeleza mpango wa pamoja kwa ajili ya mkoa huo, (Kigoma Joint Programme) kupitia mashirika yake ikiwemo lile la chakula na kilimo, FAO, matokeo chanya yameanza kudhihirika tangu kuanza kutekelezwa kwa mpango huo wenye maeneo kadhaa ikiwemo kilimo.

Audio Credit
UN News
Audio Duration
2'48"
Photo Credit
© FAO-Magnum Photos/Alex Webb