Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Mkuu wa OCHA, Mark Lowcock asema Umoja wa Mataifa utafanya kila uwezalo kuwasaidia wakimbizi Za’atari

Mkuu wa OCHA, Mark Lowcock asema Umoja wa Mataifa utafanya kila uwezalo kuwasaidia wakimbizi Za’atari

Pakua

Mkuu wa ofisi ya Umoja wa Mataifa ya kuratibu masuala ya kibinadamu na misaada ya dharura, OCHA, Mark Lowcock amezuru moja ya kambi kubwa zaidi ya wakimbizi nchini Jordan ya Za’atari kujionea hali halisi na kuzungumza na wakimbizi kutoka Syria. 

Audio Credit
Priscilla Lecomte
Audio Duration
1'28"
Photo Credit
UNICEF/Mariam Al-Hariri