Myanmar yaamriwa kuwalinda Warohingya dhidi ya mauaji ya kimbari
Pakua
Serikali ya Myanmar leo imeamriwa na mahakama ya haki ya Umoja wa Mataifa ICJ, kuzuia machafuko yanayoweza kusababisha mauaji ya kimbari kwa watu wa kabila la Rohingya ambao ni Waislam wachache na kulinda ushahidi wowote wa uhalifu wa siku za nyuma dhidi ya watu hao.
Audio Credit
UN News/Anold Kayanda
Audio Duration
1'49"