Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

UNICEF yasema homa ya vichomi na utapiamlo ni mtihani mkubwa kwa watoto Yemen

UNICEF yasema homa ya vichomi na utapiamlo ni mtihani mkubwa kwa watoto Yemen

Pakua

Homa ya vichomi na utapiamlo vimeelezwa kuwa ni moja ya changamoto kubwa kwa afya ya watoto nchini Yemen mbali ya changamoto zingine zinazosababishwa na vita vinavyoendelea, limesema shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia watoto UNICEF.

Audio Credit
UN News/Amina Hassan
Audio Duration
2'47"
Photo Credit
OCHA/Giles Clarke