Ugonjwa wa kisukari na athari zake
Tarehe saba Aprili ya kila mwaka, dunia huadhimisha siku ya afya.
Tarehe saba Aprili ya kila mwaka, dunia huadhimisha siku ya afya.
Umoja wa Mataifa nchini Haiti umetangaza ombi la dola Milioni 200 kukwamua nchi hiyo kutoka mlolongo wa matatizo yanayoikabili.
Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki-moon, amekaribisha leo taarifa kutoka kwa Urais wa nchi 20 tajiri zaidi duniani, G20, ambao unashikiliwa na Uchina, ikieleza uungaji mkono kikamilifu utiaji saini Mkataba wa Paris kuhusu tabianchi, ambao utafanyika katika hafla kwenye makao makuu ya Umoja wa
Muziki ni sanaa ambayo inatumika kuelezea hisia za mtu au hata kudhihirisha kile anachoamini ikiwemo utamaduni wake.
Kazi ya ujenzi wa maktaba kwa ajili ya shule ya msingi ya Rafah huko Gaza Kusini, iliyoanza mwezi Disemba mwaka jana, inaendelea na inatarajiwa kukamilika mwezi Septemba mwaka huu.
Ofisi ya Umoja wa Mataifa ya haki za binadamu OHCHR imeelezea kusikitishwa kutokana na hukumu ya kifo dhidi ya watu wawili nchini Bangladesh iliyotolewa na mahakama ya kimatiafa ya uhalifu nchini humo, kwa kuzingatia mchakato wa kimataifa wa haki katika kuendesha kesi.
Misafara ya misaada ya kibinadamu imeendelea kukumbwa na vikwazo kufikia wahitaji nchini Syria, amesema leo mshauri maalum wa Umoja wa Mataifa kwa Mjumbe Maalum kwa Syria, Jan Egeland baada ya mkutano uliofanyika leo mjini Geneva Uswisi kuhusu ufikishaji misaada ya kibinadamu.
Ugonjwa wa kisukari unamulikwa katika maadhimisho ya kimataifa ya siku ya afya yanayoadhimishwa leo tarehe saba mwezi Aprili.
Utaratibu wa mahakama za kimataifa za uhalifu (MICT) umeungana na dunia leo kukumbuka miaka 22 ya mauaji ya kimbari ya Rwanda yaliyotokea mwaka 1994 ambapo Watutsi na Wahutu na wengine waliopinga mauaji hayo waliuawa.
Jumuiya za kijamii zimezitajka nchi wanachama wa Umoja wa mataifa kujumuisha wajibu wa kifedha, huduma na haki kama vipaumbele katika azimio la kisiasa la mwaka 2016 la kutokomeza ukimwi.