Uzalishaji wa nafaka duniani watabiriwa kuwa mzuri 2016, ingawa chini kidogo
Uzalishaji wa nafaka duniani mwaka huu wa 2016 unatarajiwa kufikia tani milioni 521, ikiwa ni upungufu wa asilimia 0.2 tu kutoka kwa uzalishaji mkubwa wa mwaka jana.
Uzalishaji wa nafaka duniani mwaka huu wa 2016 unatarajiwa kufikia tani milioni 521, ikiwa ni upungufu wa asilimia 0.2 tu kutoka kwa uzalishaji mkubwa wa mwaka jana.
Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Wakimbizi (UNHCR), limeitisha tena uteuzi wa wagombea wa tuzo ya Nansen kuhusu wakimbizi kwa mwaka 2016, ambao unafanyika hadi tarehe 25 Aprili.
Huku utaratibu wa kupeleka Uturuki wakimbizi waliopo Ugiriki ukiwa umeanza kutekelezwa, shirika la Kuhudumia watoto la Umoja wa Mataifa, UNICEF limekumbusha serikali wajibu wao katika kulinda watoto na kuwapatia haki ya kusikilizwa kabla ya kuwasafirisha.
Zaidi ya watoto na vijana barubaru 5,000 wameathirika na mateso mwaka 2015, umesema leo Mfuko wa Umoja wa Mataifa wa Kusaidia wahanga wa Mateso UNVFVT, ikilinganishwa na visa 4,000 vilivyoripotiwa mwaka 2014.
"Tumechukua hatua kadhaa, taifa limedhalilishwa'' ni sehemu ya maneno ya mwakilishi wa kudumu wa Tanzania katika ofisi ya Umoja wa Mataifa mjini New York balozi Tuvako Manongi akizungumzia tuhuma za unyanyasaji wa kingono zinazowakabili walinda amani 11wa nchi hiyo walioko Jamhuri ya Kidemokrasia
Shirika la afya duniani WHO limelaani vikali shambulio kwenye hospitali kuu ya Ma’arib iliyoko kwenye jimbo la Ma’arib nchini Yemeni na kukatili maisha ya watu wanne akiwemo Daktari wa hospitali hiyo na pia kujeruhi watu wengine 13 mnamo Aprili 3 mwaka huu.
Naibu Mwakilishi maalum wa Katibu Mkuu na Mratibu mkaazi wa masuala ya kibinadamu nchini Libya, Ali-Za’tari, ameelezea masikitiko yake kufuatia vifo vya wahamiaji wanne kutoka Kusini mwa Jangwa la Afrika katika kituo cha kuzuilia wahamiaji cha Al-Nasr, huko al-Zawiya, na kutoa wito uchunguzi kami
Ikiwa ni wiki kadhaa baada ya kimbunga Winston kuikumba Fiji na kuathiri asilimia 40 ya watu wote kisiwani humo, Fiji kwa mara nyingine inakabiliwa na hali mbaya ya hewa kutokana na misukosuko mitatu ya kitropiki ambapo mmoja umekuwa na kasi kubwa na kuwa kimbunga Zena.
Katika kutekeleza miradi ya nishati endelevu isiyoharibu mazingira, Kenya imeidhinisha mradi wa nishati ya jua utakaogharimu dola Milioni 126 na kwa ajili ya kukwamua kaya zaidi ya Laki Sita.
Zaidi ya washiriki 35 kutoka nchi 26 watapewa mafunzo kwenye maabara ya Shirika la Kimataifa la Nishati ya Atomiki (IAEA) mwezi huu, kuhusu kutumia mbinu ya teknolojia ya nyuklia katika kugundua virusi vya Zika haraka na kwa uhakika.