Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Kabrasha la Sauti

Picha: Video screenshot

Mradi wa Sports for Protection unanisaidia kuondoa msongo wa mawazo na kuniepusha na wadanganyifu – Yomjima Konyi Kurok

Sports for Protection ni mbinu ya kutumia michezo kwa ajili ya kusaidia maendeleo na ulinzi wa vijana waliofurushwa au walioko ukimbizini ni mkakati ulioanzishwa na Shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia wakimbizi, UNHCR kwa kushirikiana na Kamati ya Kimataifa ya Olimpiki na sasa unatekelezwa n

Sauti
3'5"

30 DESEMBA 2022

Jaridani leo Ijumaa ya tarehe 30 mwezi Desemba mwaka 2022 tunakuletea habari za maombolezo na pia ya uteuzi wa naibu mkurugenzi mtendaji mpya wa UNEP.  Makala tunaelekea nchini Kenya katika makazi ya wakimbizi ya Kalobeyei na mashinani tunaangazia haki za wanawake na wasichana Afghanistan.

Sauti
11'6"

29 DESEMBA 2022

Hii leo tunakuletea jarida maalum likimulika kwa muhtasari yaliyojiri mwaka huu na matarajio kwa mwaka 2023 na pia habari kwa ufupi zikiwemo heri ya mwaka mpya kutoka katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, hali ya usalama katika Greater Jonglei nchini Sudan Kusini na wanawake na wasichana kukatazwa kuf

Sauti
13'58"