Utoaji chanjo dhidi ya Ebola waendelea Mbandaka
Utoaji chanjo dhidi ya Ebola ukiendelea huko jimbo la Equateur nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, DRC, imeelezwa kuwa idadi ya washukiwa wa Ebola sasa imefikia 28.
Utoaji chanjo dhidi ya Ebola ukiendelea huko jimbo la Equateur nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, DRC, imeelezwa kuwa idadi ya washukiwa wa Ebola sasa imefikia 28.
Mwakilishi maalum wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa na mkuu wa ujumbe wa Umoja huo nchini Libya UNSMIL, Ghassan Salame amesema kuwa mapigano baado yanaendelea katika mji wa Derna ulioko mashariki mwa taifa hilo.
Kaunti ya Meru nchini Kenya imezindua mpango wa miaka 5 wenye lengo la kuleta upya matumaini kwa vijana waliopoteza matumaini ya kujipatia kipato baada ya Muungano wa Ulaya kupiga marufuku bidhaa ya miraa yenye thamani ya dola za kimarekani bilioni 6.
Wakati dunia hivi sasa ikikabiliwa na changamoto chungu nzima zinazoongeza mzigo katika huduma za afya, iwe vita, majanga ya asili, mabadiliko ya tabia nchi na hata milipuko ya magonjwa hakuna kilicho muhimu kama kuwa na afya njema.
Wajumbe na viongozi wa kidini kutoka Sudan Kusini, wanaohudhuria mkutano wa ngazi za juu wa jukwaa la kuongeza matumaini ya amani nchini mwao, wamejikuta wakibubujika machozi kutokana na mateso waliyoshuhudia nchini mwao.
Chanjo dhidi ya ugonjwa wa Ebola imeanza kutolewa hii leo kwenye jimbo la Equateur nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, DRC.
Huduma ya intaneti iliyofungwa katika kambi ya wakimbizi huko jimbo la Diffa, mashariki mwa Niger imeanza kuzaa matunda kwa mashirika ya misaada na wakimbizi ambao wote wananufaika na huduma ya simu na intaneti
Katika maadhimisho ya siku ya nyuki duniani mashirika ya Umoja wa Mataifa likiwemo la chakula na kilimo duniani FAO na wadau yameendelea kuweka mkazo katika ulinzi na utunzaji wa nyuki kwa ulinzi wa mazingira na pia matumizi ya binadamu.
Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres anaendelea kufuatilia kwa karibu hali ilivyo huko Sahara Magharibi.
Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres amepokea kwa masikitiko makubwa taarifa ya ajali ya ndege ya jana tarehe 18 mjini Havana Cuba na kusababisha maafa kwa raia wengi.