Wanawake warohigya: Baada ya kubakwa sasa ni wajawazito
Idadi kubwa ya wanawake na wasichana 40,000 wakimbizi wa kirohingya ambao ni wajawazito hivi sasa, walipata hali hiyo baada ya kubakwa.
Idadi kubwa ya wanawake na wasichana 40,000 wakimbizi wa kirohingya ambao ni wajawazito hivi sasa, walipata hali hiyo baada ya kubakwa.
Kila sauti hiyo isikikapo wakati mama anajifungua huwa ni muziki masikioni mwake, lakini mamilioni ya watoto na kina mama duniani hupoteza maisha kila mwaka sababu ya kukosa dumuma bora wakati wa ujauzito, kipindi cha kujifungua na hata baada ya kujifungua, kwa mujibu wa shirika la afya duniani WHO.
Mvua zinazoendelea kunyesha nchini Kenya zimesababisha vifo vya watu takriban 100 na kuwaacha watu 260,000 bila makazi.
Nchini Tanzania hii leo Mahakama Kuu kanda ya Mtwara imezuia kwa muda kuanza kwa matumizi ya kanuni mpya za maudhui ya mtandao nchini humo.
Umoja wa Mataifa unataka walaji kuepuka matumizi ya mafuta mabaya ambayo huganda kwenye mishipa ya damu kwenye moyo na kusababisha magonjwa ya moyo.
Mvua zinazoendelea kunyesha nchini Kenya zimesababisha vifo vya watu takriban 100 na kuwaacha watu 260,000 bila makazi.
Umoja wa Mataifa umetaka mamlaka za Rwanda na wakimbizi wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, DRC waliosaka hifadhi nchini humo wajizuie kufuatia mapigano ya wiki hii yaliyosababisha kifo cha mkimbizi mmoja.
Baada ya kuuliwa kwa wazazi wake na watu wenye silaha msichana mwenye umri wa miaka 17 alichukuwa jukumu la kuwalewa wadogo za watatu kutoka Myanmar hadi Kutupalong nchini Bangladesh
Nchini Bangladesh shirika la mpango wa chakula duniani, WFP linashirikiana na warohingya waliosaka hifadhi humo katika kuandaa vema makazi na uhifadhi wa chakula wakati huu ambapo msimu wa pepo za monsuni unabisha hodi.
Ofisi ya Umoja wa Mataifa la kuratibu misaada ya kibinadamu OCHA, imebaini utelekezaji mzuri wa misaada ya kibinadamu kwa kuzingatia muda na mahitaji ya waathirika kwa baadhi ya nchi zilizonufaika na mfuko wa misaada wa CBPFs .