Familia moja nchini Kenya yarejesha ndoto ya masomo kwa mkimbizi kutoka Burundi
Nchini Kenya, mradi wa pamoja wa Muungano wa Ulaya na shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia watoto, UNICEF pamoja na shirikisho la makanisa ya kilutheri duniani, umesaidia kulinda wakimbizi watoto kwenye kambi ya Kakuma nchini Kenya baada ya kukimbia madhila katika nchi zao.