Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Neno La Wiki

UN News Kiswahili

22 Juni 2018

Katika neno la wiki hii leo mchambuzi wetu Onni Sigalla, Mhariri Mwandamizi wa Baraza la Kiswahili la Taifa nchini Tanzania BAKITA anafafanua neno “Budi”,  Ungana naye...

Sauti
44"
UN News Kiswahili

Neno la Wiki: Uzio

Katika neno la wiki hii leo mchambuzi wetu Onni Sigalla, Mhariri Mwandamizi wa Baraza la Kiswahili la Taifa nchini Tanzania BAKITA anafafanua neno “Uzio”,  Ungana naye...

Sauti
1'2"
UN News Kiswahili

Neno la Wiki: UPAKO

Katika neno la wiki hii leo mchambuzi wetu Onni Sigalla, Mhariri Mwandamizi wa Baraza la Kiswahili la Taifa nchini Tanzania BAKITA anafafanua neno “Upako”,  Ungana naye...

Sauti
56"
UN News Kiswahili

Neno la wiki: Mtambuka

Katika Neno la Wiki hii leo tunaangazia neno “Mtambuka” na mchambuzi wetu ni Onni Sigalla, Mhariri Mwandamizi, katika Baraza la Kiswahili la Taifa, BAKITA, nchini Tanzania.

Bwana Sigalla anasema ili kupata maana ya neno Mtambuka, lazima tuachambue maana ya neno "Tambuka", ungane naye upate huo uchambuzi, kisha upate kufahamu maana ya Mtambuka..

Sauti
49"
UN News Kiswahili

Neno "Simu" lina maana ngapi?

Tujifunze Kiswahili, je wafahamu neno "Simulina maana ngapi? Ungana na mchambuzi wetu Onni Sigalla, mhariri mwandamizi kutoka Baraza la Kiswahili la taifa nchini Tanzania BAKITA akizifafanua. 

Audio Duration
42"
UN News Kiswahili

Neno la Wiki: Mkumbizi

Katika Neno la Wiki hii leo tunaangazia neno “Mkumbizi” na mchambuzi wetu ni Onni Sigalla, Mhariri Mwandamizi, katika Baraza la Kiswahili la Taifa, BAKITA, nchini Tanzania. 

Bwana Sigalla anasema neno hili lina maana zaidi ya moja, kwanza mtu anayesafisha mahali na kuondoa takataka, watu wengi wanamuita mfanyakazi lakini neno sahihi ni Mkumbizi.  Pili ni mtu afuataye wavunaji shambani na kuokota mavuno yaliyosalia kwa bahati na kutumia kama chakula chake.

Sauti
48"