Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Neno la Wiki:Usiache mbachao kwa msala upitao

Neno la Wiki:Usiache mbachao kwa msala upitao

Pakua

Na katika neno la wiki mchambuzi wetu Ken Walibora ambaye ni mwana riwaya na mwanachama wa Chama cha  Kiswahili cha Taifa nchini Kenya, CHAKITA anaaelezea maana ya methali, usiache mbachao kwa msala upitao.

Audio Credit
Flora Nducha/ Ken Walibora
Audio Duration
51"
Photo Credit
UN News Kiswahili