Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

UN News

Makala Maalum

Masuala ya UM Je, itachukua nini kwa Palestina kuwa Nchi Mwanachama kamili wa Umoja wa Mataifa? Wakati Baraza la Usalama linashughulikia suala hilo wakati vita vya uharibifu huko Gaza vikiingia mwezi wake wa saba, tuliangalia hali ya sasa ya Palestina na kile kinachohitajika kuwa Nchi Mwanachama wa Umoja wa Mataifa.

Habari Nyinginezo

Haki za binadamu Kushindwa kwa Tanzania kulaani na kuchunguza mashambulizi dhidi ya watu wenye ualbino kunaweza kuwa ni ukiukwaji mkubwa wa wajibu wake wa kuwalinda watu wenye ulemavu, wamesema wataalamu wa Umoja wa Mataifa leo katika Ofisi za Umoja wa Mataifa mjini Geneva, Uswisi.
Amani na Usalama Ripoti mpya ya kimataifa iliyotolewa leo na shirika la chakula na kilimo la Umoja wa Mataifa FAO kuhusu mgogoro wa chakula duniani inasema karibu watu milioni 282 walio katika nchi 59 walikabiliwa na viwango vya juu vya njaa mwaka 2023 ambayo ni sawa na mtu 1 kati ya 5 na sasa wanahitaji hatua za haraka kuepushwa na baa la njaa.