Athari za IDAI za anika mzigo wa madeni ya siri Msumbiji-UN
Athari za kimbunga Idai kilichoikumba Msumbiji na kwingineko kimeanika hadharani mzigo wa madeni ya siri ambayo hayajalipwa nchini Msumbuji kwa mujibu wa mtalaam wa haki za binadamu wa Umoja wa Mataifa.