Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Walioonja uongozi wa wanawake wanauthamini-gavana Laboso

 Joyce Laboso, gavana wa kaunti ya Bomet nchini Kenya katika mahojiano maalum na Idhaa ya Kiswahili hapa jijini New York Marekani.
UNnewskiswahili/Patrick Newman
Joyce Laboso, gavana wa kaunti ya Bomet nchini Kenya katika mahojiano maalum na Idhaa ya Kiswahili hapa jijini New York Marekani.

Walioonja uongozi wa wanawake wanauthamini-gavana Laboso

Wanawake

Ushiriki wa wanawake katika uongozi hususan siasa ni mdogo huku kukiwa na tofauti kubwa ya uwakilishaji wa kundi hilo kwenye bunge au vyeo vingine serikalini kwa mujibu wa Shirika la Umoja wa Mataifa la maswala ya wanawake, UN-Women.

UN-Women inasema uwakilishi wa wanawake katika bunge Afrika  kusini mwa jangwa la Sahara kufikia Novemba mwaka 2018 ulikuwa ni aslimia 23.6. Moja ya nchi zilizopo katika ukanda huo ni Kenya ambako licha ya pendekezo la katiba kuhakikisha kwamba serikali katika kitengo chochote isiwe na uwakilishi wa zaidi ya theluthi mbili ya wawakilishi kutoka jinsia moja.

Aidha, pendekezo hilo ambalo linaungwa mkono na vipengee mbali mbali vya katiba, utekelezaji wake bado unasuasua kama anavyosema Joyce Laboso, gavana wa kaunti ya Bomet nchini Kenya katika mahojiano maalum na Idhaa ya Kiswahili hapa jijini New York Marekani.

(Sauti ya Laboso)

Hata hiyvo gavana Laboso ametoa wito wanawake kupewa fursa ya uongozi kwani.

(Sauti ya Laboso)