Sekta isiyo rasmi ‘yameza wengi’ ila maslahi duni- ILO
Watu bilioni 2 kote ulimwenguni wanafanya kazi katika sekta isiyo rasmi na idadi kubwa ni katika nchi zinazoendelea na zile zinazoibuka kiuchumi.
Watu bilioni 2 kote ulimwenguni wanafanya kazi katika sekta isiyo rasmi na idadi kubwa ni katika nchi zinazoendelea na zile zinazoibuka kiuchumi.
Leo ni siku ya kimataifa ya muziki wa Jazz, na maadhimisho ya kimataifa mwaka huu yanafanyika St. Petersburg, Urusi.
Watu takribani 14 wameuawa hii leo na wengine wapatao 10 kujeruhiwa katika mashambulio mawili ya kujitoa muhanga mjini Kabul Afghanistan.
Watoto wakimbizi nchini Rwanda sasa wanaona nuru katika maisha yao kutokana na ushirikiano kati ya shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia wakimbizi UNHCR na mfuko wa H&M.
Baada ya kupitia machungu na mateso makali korokoroni nchini Libya hatimaye wakimbizi 56 kutoka mataifa mbalimbali wamepewa hifadhi ya kudumu kwenye makazi ya watawa wa kikatoliki wa shirika la wafransisca kaskazini mashariki mwa Ufaransa.
Wanafunzi mbalimbali kutoka nchi tofauti duniani wameshirika katika mdahalo kupitia video kama sehemu ya kuwaenzi wahanga wa biashara ya utumwa hususan ile ya kuvuka bahari ya Atlantiki.
Baada ya mashauriano na mazungumzo kwa wiki mbili, hatimaye mkutano wa 17 wa jukwaa la kudumu la watu wa asili la Umoja wa Mataifa unatamatisha shughuli zake jijini New York, Marekani.
Mapigano mapya yameripotiwa kwenye majimbo ya Unity, Jonglei na Equatoria ya Kati nchini Sudan Kusini na kusababisha maelfu ya raia kukimbia makazi yao huku vitendo vya ukatili wa kingono vikiripotiwa.
Umoja wa Mataifa umeisihi Ugiriki iboreshe mazingira na kasi ya mapokezi ya wasaka hifadhi kwenye mkoa wa Evros ambako wakimbizi wanazidi kumiminika wakipitia mpaka wa nchi hiyo na Uturuki.
Juhudi za mashirika ya umoja wa Mataifa za kunusuru maisha ya maelfu ya Warohingya waliokimbilia Bangladesh dhidi ya msimu wa pepo kali na mvua za monsoon zinazotarajiwa kuanza mapema mwezi ujao , zitagonga mwamba endapo hakutapatika ufadhili mpya haraka.