Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Jukwaa la watu wa asili laanza New York, Marekani

Elifuraha Laltaika.(Picha:Idhaa ya Kiswahili/ Joseph Msami)

Jukwaa la watu wa asili laanza New York, Marekani

Utamaduni na Elimu

Kikao cha 17 cha jukwaa la kudumu la Umoja wa Mataifa la watu wa asili kimeanza leo kwenye makao makuu ya umoja huo, jijini New York, Marekani. Mada kuu katika mkutano huo ni haki za ardhi, maeneo na rasilimali kwa watu hao wa jamii za asili. 

Assumpta Massoi wa Idhaa hii amezungumza na Dkt. Elifuraha Laltaika ambaye ni mtaalamu huruwa jukwaa hilo la Umoja wa Mataifa la watu wa asili. Dkt. Laltaika anaanza kwa kuelezea mambo muhimu wanayoangazia kwenye mkutano huo wa wiki mbili.

(Mahojiano-package)