Mvua Somalia kutumbukiza watoto kwenye unyafuzi-UNICEF
Mafuriko yanatokana na mvua zinazonyesha nchini Somalia, siyo tu yanasababisha maelfu ya watu kukimbia makazi yao bali yanatishia mustakbali wa kiafya wa watoto.
Mafuriko yanatokana na mvua zinazonyesha nchini Somalia, siyo tu yanasababisha maelfu ya watu kukimbia makazi yao bali yanatishia mustakbali wa kiafya wa watoto.
Msaidizi wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa kuhusu masuala ya kisiasa, yuko ziarani nchini Somalia ambako amekutana na uongozi wa serikali na mpango wa Umoja wa Mataifa nchini humo UNSOM.
Mizozo kote duniani inaibua vitisho na machungu kwa mamilioni ya raia wakiwemo wanawake, wasichana, wanaume, wavulana na watoto.
Mvua zinazoendelea kunyesha nchini Kenya zimesababisha vifo vya watu takriban 100 na kuwaacha watu 260,000 bila makazi.
Idadi ya watu nchini Somalia inaongezeka kwa kasi hususan kwenye maeneo ya mijini hali inayochangia mazingira kuharibiwa kutokana na mizozo na pia matumizi mabaya ya misitu , umesema Umoja wa Mataifa nchini humo. Maelezo zaidi na Flora Nducha
Shambulio la kigaiodi mjini Gaalikacyo Somalia limekatili maisha ya watu watano wakiwemo maafisa usalama wa serikali na raia waliokuwa wamefurika kwenye mgahawa mmoja mjini humo.
Kilimo, ufugaji na uvuvi sasa ndio mwelekeo Somalia, kazi kwa serikali na wadau kuhakikisha hilo linawezekana.
Mizozo na njaa kali vyaendelea kuambatana kwenye maeneo kadhaa duniani na kuacha watoto, wanawake, wanaume, vijana kwa wazee hoi bin taaban. Baraza la Usalama lakumbushwa wajibu wake.
Haki za binadamu zinazidi kusiginwa maeneo mbalimbali duniani hata katika nchi ambazo kwa muda mrefu zimetambuliwa kuwa visiwa vya amani, asema Zeid Ra'ad Al Hussein hii leo katika ripoti yake kuhusu hali ya haki za binadadamu duniani.
Mkutano wa kutafuta pesa za kufadhili kushughulikia masuala ya kibinadamu yanayoikabili Somalia unafanyika mjini London nchini Uingereza.