Udadisi wangu ulisababisha wanishawishi nijikite kwenye masomo ya sayansi-Mhandisi Nadhifa
Katika makala kwa kina ya wiki hii Stella Vuzo wa kituo cha habari cha Umoja wa Mataifa UNIC Dar es Salaam anazungumza na mhandisi wa ndege katika shirika la ndege la Tanzania ATCL, Nadhifa Zubeir Hassan kuhusu kazi hiyo ya ufundi wa ndege.