Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Habari kwa Ujumla

OCHA/Giles

Benki ya Dunia na Ofisi ya Miradi ya UN washirikiana kuboresha maisha ya watu wa Yemen

Ofisi ya miradi ya Umoja wa Mataifa, UNOPS kwa kushirikiana na Benki ya dunia pamoja na wadau wenyeji, wanafanya juhudi za kuboresha huduma mijini pamoja na nishati ya umeme kwa mamilioni ya watu wa Yemen. Ni kufuatia miaka mitano ya vurugu nchini Yemen ambazo zimeharibu sana miundombinu na huduma za jamii zinazotegemewa sana na watu wa Yemen.

Sauti
1'58"