UNCTAD yasema uwekezaji kutoka pato la taifa ni hatua ya kwanza tu katika kufanikisha SDGs Afrika
Pakua
Wakati dunia imeanza muongo wa mwisho kuelekea ukomo wa malengo ya maendeleo endelevu ya Umoja wa Mataifa au SDGs, mwelekeo wa mataifa katika kufanikisha malengo hayo unaathiriwa na mambo mbali mbali ikiwemo migogoro ya kimataifa.
Audio Credit
UN News/Assumpta Massoi
Sauti
6'25"