Athari za tetemeko la miaka 10 iliyopita Haiti bado zinaendelea:IOM 13 Januari 2020 Habari kwa Ujumla Pakua Shirika la uhamiaji la Umoja wa Mataifa IOM linasema miaka 10 baada ya tetemeko baya zaidi kuwahi kukikumba kisiwa cha Haiti idadi kubwa ya watu waliotawanywa wameweza kurejea nyumbani lakini bado jinamizi la tetemko hilo linawaandama. Audio Credit UN News/Arnold Kayanda Audio Duration 1'55" Photo Credit UN Photo/Sophia Paris