Maelfu ya watoto Venezuela waendelea kubeba gharama ya machafuko:UNICEF 13 Januari 2020 Habari kwa Ujumla Pakua Shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia watoto UNICEF limesema maelfu ya watoto bado wanaendelea kuwa waathirika wa hali mbaya nchini Venezuela na kulazimika na familia zao kufungasha virago na kuingia nchi jirani ya Brazil. Audio Credit UN News/Brenda Mbaitsa Audio Duration 2'33" Photo Credit ©UNHCR/Vincent Tremeau