Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

UNMISS yasema mahitaji ya upinzani yatatimizwa Lirangu Sudan Kusini

UNMISS yasema mahitaji ya upinzani yatatimizwa Lirangu Sudan Kusini

Pakua

Mahitaji ya jeshi la ukombozi la watu wa Sudan au SPLA-iO yameanzwa kutimizwa katika eneo la Lirangu linalodhibitiwa na upinzani nchini Sudan Kusini kwa mujibu wa mpango wa Umoja wa Mataifa wa kulinda amani nchini humo UNMISS

Audio Credit
UN News/Grace Kaneiya
Sauti
3'1"
Photo Credit
UNMISS Photo