Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Msaada wahitajika kwa wakimbizi na jamii zinazowahifadhi nchini Sudan: UNHCR

Msaada wahitajika kwa wakimbizi na jamii zinazowahifadhi nchini Sudan: UNHCR

Pakua

Shirika la kuhudumia wakimbizi la Umoja wa Mataifa UNHCR  lina mpango wa kuongeza msaada kwa Sudan kwa kutoa  ombi la dola milioni 477 kusaidia wakimbizi 900,000 nchini humo pamoja na karibu watu robo milioni wanaowapa hifadhi katika kipindi cha mwaka mmoja ujao.

Audio Credit
UN News/Jason Nyakundi
Audio Duration
2'1"
Photo Credit
UNAMID/Albert González Farran