Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Nchini Burkina Faso mradi wa FAO wa kukabiliana na jangwa wazaa matunda

Nchini Burkina Faso mradi wa FAO wa kukabiliana na jangwa wazaa matunda

Pakua

Mradi wa kimataifa wa kukabiliana na jangwa ulioashindwa na shitrika la Umoja wa Mataifa la chakula la kilimo FAO umeanza kuleta nuru kwa wakulima nchini Burkina Faso

Audio Credit
UN News/Grace Kaneiya
Audio Duration
2'13"
Photo Credit
UNDP Chad/Jean Damascene Hakuzim