Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Habari kwa Ujumla

UNICEF/Samuel Leadismo

Penye nia pana njia na nia yangu ni kumwamua msichana wa Kisamburu:Lerosion

Mila na desturi katika jamii ya Wasamburu nchi Kenya bado zinamwacha nyuma mtoto wa kike hasa katika masuala ya elimu na kudumisha mila zingine potofu ikiwemo ukeketaji. Hivi sasa wanaharakati mbalimbali kutoka mashirika ya kijamii, kidini na hata serikali wanachukua hatua hususan ya kuelimisha jamii kuhusu thamani na mchango wa  mtoto wa kike katika jamii.

Sauti
3'15"