Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Habari kwa Ujumla

UN Photo.

Mwaka 2014-2016

Desemba mwaka 2013 ukifunga pazia katika kijiji cha Meliandou nchini Guinea, mtoto Emile Ouamouno alifariki. Hii ilikuwa ni pigo kubwa kwa familia yake lakini kifo hicho kilikuwa na athari zaidi baada ya Emile kutajwa kama mgonjwa wa mwanzo kabisa wa ,mlipuko mbaya zaidi wa Ebola kuwahi kushuhudiwa.

Sauti
3'59"
UN Photo.

Mwaka 2017-2019

Mwaka 2017 ulianza kwa Katibu Mkuu mpya wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres kuanza rasmi hatamu yake ya uongozi na kuahidi kuleta mabadiliko katika usawa wa kijinsia na kuzuia mizozo katika dunia yenye migawanyiko.

Sauti
2'47"