Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Iwapo dunia haichukui hatua usugu wa viuavijiumbe maradhi utakuwa ni janga katika vizazi na vizazi

Iwapo dunia haichukui hatua usugu wa viuavijiumbe maradhi utakuwa ni janga katika vizazi na vizazi

Pakua

Jopo lililoundwa na Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa kwa ushirikiano na wadau kubonga bongo kuhusu mbinu bora na endelevu za kukabiliana na usugu wa viuavijiumbe maradhi au antimicrobial limetoa ripoti yake yenye mapendekezo makuu manne kwa lengo la kuondokana na tatizo hilo.

Audio Credit
Patrick Newman/ Flora Nducha
Sauti
2'14"
Photo Credit
FAO/Sergei Gapon