Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Colombia ni moja ya kimbilio kwa familia zinazokimbia machafuko Venezuela

Colombia ni moja ya kimbilio kwa familia zinazokimbia machafuko Venezuela

Pakua

Shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia watoto UNICEF limesema linasaka dola milioni 29 ili kuongeza bajeti yake ambayo kwa sasa ni takribani dola milioni sita tukwa lengo la kuwasaidia maelfu ya Watoto wa Venezuela wanaoishi nchini Colombia.

Audio Credit
Patrick Newman/ Grace Kaneiya
Sauti
2'58"
Photo Credit
©UNHCR/Vincent Tremeau