Namna ngamia walivyobadili maisha ya wanajamii wa Samburu Kenya
Kwa wafugaji hususan walio katika maeneo ya ukame kwa miongo kadhaa wamekuwa wakiathirika na athari za mabadiliko ya tabianchi kutokana na mifugo yao kutozalisha kiwango kinachohitajika cha maziwa na nyama cha kuwatosheleza wao wenyewe kula na kingine kuuza na kujipatia fedha.