Tunapambana kutokomeza unyanyasaji dhidi ya wanawake na watoto: Nelly

27 Aprili 2015

Mila na tamaduni zilizopitwa na wakazi zinasalia kuwa moja ya vikwazo vikubwa katika kuondokana na unyanysaji kwa wanawake , wasichana na watoto hususani katika nchi za maziwa makuu, amesema Mkurugenzi wa taasisi inayojihusisha na kuwa kwamua wanawake na watoto katika unyanyasaji, ijulikanayo kama Connected hearts Bi Nelly Niyonzima.

Katika mahojiano na idhaa hii Bi Niyonzima amesema kampeni dhidi ya aina mbalimabli za unyanyasaji inaendelea.

(SAUTI NELLY)

Amesema ili kutokomeza unyanyasaji serikali zina wajibu wa….

(SAUTI NELLY)

 

♦ Tafadhali iwapo unataka kupokea taarifa kutoka UN News Kiswahili kila wakati zinapochapishwa jisajili  hapa.
♦ Pia unaweza kupakua apu ili kusikiliza matangazo yetu wakati wowote popote ulipo.
♦ Tembelea pia chaneli yetu ya Youtube na pia Soundcloud