Mawasiliano mbalimbali

Umeme wasalia ndoto kwa wakazi wengi Afrika – Guterres

Umeme wasalia ndoto kwa wakazi wengi Afrika – Guterres

Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres amesihi serikali zichukue hatua kuhakikisha kila mtu anapata huduma ya nishati salama iwe ya kupikia au ya kuangazia mwanga.

Sauti -

Vijana Tanzania wajifunza kilichosababisha mauaji ya halaiki

Vijana Tanzania wajifunza kilichosababisha mauaji ya halaiki

Tarehe 26 Januari mwaka 2017, Kituo cha Habari cha Umoja wa Mataifa jijini Dar es Salaam-UNIC kwa kushirikiana na Ubalozi wa Ujerumani, Shule za Sekondari, vijana ambao hawapo shuleni na Asasi za kiraia waliadhimisha siku ya kimataifa ya kumbukumbu ya wahanga wa mauaji ya halaiki, #Holocaust.

Sauti -