Paneli za sola huko Morocco ni mfano wa kuigwa- Guterres
Changamoto kubwa duniani kwa sasa ni mabadiliko ya tabianchi ambayo ni tishio kubwa kwa maisha ya viumbe hususan uhai wa mwanadamu.
Changamoto kubwa duniani kwa sasa ni mabadiliko ya tabianchi ambayo ni tishio kubwa kwa maisha ya viumbe hususan uhai wa mwanadamu.
Mjumbe maalum wa Umoja wa Mataifa kuhusu Syria Staffan de Mistura amewasilisha mbele ya Barazala Usalama ripoti ya mgogoro unaoendelea nchini humo.
Zaidi ya shule 140 nchini Libya humo hazina maji safi na salama pamoja na huduma ya kujisafi zinazokidhi viwango.
Iran imejiunga rasmi na shirika la kimataifa linalotafiti masuala ya saratani IARC
Ifikapo mwaka 2050 inakadiriwa kuwa watu wawili kati ya watatu watakuwa wanaishi mijini kwa mujibu wa ripoti mpya ya Umoja wa Mataifa iliyotolewa leo, ikiainisha haja ya kuwa na mipango miji endelevu na huduma muhimu za jami.
Katika ulimwengu wa sasa unaoshuhudia migawanyiko, hofu ya vita vya nyuklia na madhara ya mabadiliko ya tabianchi, Umoja wa Mataifa umeusihi ushirikiano zaidi na umoja miongoni mwa wanachama wa Muungano wa Ulaya, EU.
Shirika la uhamiaji la Umoja wa Mataifa, IOM nalo limejumuika katika kusaidia kudhibiti kuenea kwa ugonjwa wa Ebola huko jimbo la Equateur nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, DRC.
Hatimaye vifaa vya matibabu vilivyokuwa vinahitajika sana huko Ukanda wa Gaza kwa ajili ya kutibu majeruhi wa mapigano vimewasili eneo hilo.
Nilichokishuhudia Sudan Kusini kwa maelfu ya watu waliotawanywa kinasikitisha, amesema msaidizi wa Katibu Mkuu wa masuala ya kibinadamu Mark Lowcock ambaye leo anahitimisha ziara ya siku mbili nchini humo.
Katika jitidaha za kupambana na unyanyasaji na ukatili wa kingono katika maeneo ya operesheni za Umoja wa Mataifa hasa kuliko na vita , Umoja wa Mataifa umelivalia njuga suala hilo na kuwasaidia waathirika kwa kuzindua mirandi mbalimbali itakayowasaidia.