Uhai wa nyuki ni ustawi wa binadamu- FAO
Kuelekea siku ya nyuki duniani tarehe 20 mwezi huu wa Mei, shirika la chakula na kilimo duniani, FAO linataka hatua zaidi za kulinda nyuki ambao wana jukumu kubwa la kuchavusha maua yanayozalisha chakula.
Kuelekea siku ya nyuki duniani tarehe 20 mwezi huu wa Mei, shirika la chakula na kilimo duniani, FAO linataka hatua zaidi za kulinda nyuki ambao wana jukumu kubwa la kuchavusha maua yanayozalisha chakula.
Shirika la afya ulimwenguni WHO lina hofu kubwa hivi sasa baada ya mgonjwa wa Ebola kubainika maeneo ya mjini huko Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, DRC.
Baada ya kushiriki na kufanikisha mafanikio ya kampeni ya kutokomeza matumizi ya mifuko ya plastiki nchini Kenya, mwanaharakati na mpiga picha nchini humo James Waikibia amesema hivi sasa ameelekeza nguvu zake kwenye kutokomeza matumizi ya vifaa vya plastiki vinavyotumika mara moja na kutupwa.
Changamoto kubwa duniani kwa sasa ni mabadiliko ya tabianchi ambayo ni tishio kubwa kwa maisha ya viumbe hususan uhai wa mwanadamu.
Mjumbe maalum wa Umoja wa Mataifa kuhusu Syria Staffan de Mistura amewasilisha mbele ya Barazala Usalama ripoti ya mgogoro unaoendelea nchini humo.
Ifikapo mwaka 2050 inakadiriwa kuwa watu wawili kati ya watatu watakuwa wanaishi mijini kwa mujibu wa ripoti mpya ya Umoja wa Mataifa iliyotolewa leo, ikiainisha haja ya kuwa na mipango miji endelevu na huduma muhimu za jami.
Katika ulimwengu wa sasa unaoshuhudia migawanyiko, hofu ya vita vya nyuklia na madhara ya mabadiliko ya tabianchi, Umoja wa Mataifa umeusihi ushirikiano zaidi na umoja miongoni mwa wanachama wa Muungano wa Ulaya, EU.
Shirika la uhamiaji la Umoja wa Mataifa, IOM nalo limejumuika katika kusaidia kudhibiti kuenea kwa ugonjwa wa Ebola huko jimbo la Equateur nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, DRC.
Hatimaye vifaa vya matibabu vilivyokuwa vinahitajika sana huko Ukanda wa Gaza kwa ajili ya kutibu majeruhi wa mapigano vimewasili eneo hilo.
Nilichokishuhudia Sudan Kusini kwa maelfu ya watu waliotawanywa kinasikitisha, amesema msaidizi wa Katibu Mkuu wa masuala ya kibinadamu Mark Lowcock ambaye leo anahitimisha ziara ya siku mbili nchini humo.