Gari la kwanza baada ya miaka 20 laleta msisimko katika utoaij chanjo DRC
Ufikishaji wa chanjo dhidi ya Ebola kwenye kijiji cha Bosolo kilichopo jimbo la Equateur nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, DRC umekuwa ni fursa kwa watoto wa eneo hilo kushuhudia gari kwa mara ya kwanza.