Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Neno La Wiki

UN News Kiswahili

Neno la Wiki- Mkulivu

Na sasa ni neno la wiki ambapo Onni Sigalla,  Mhariri Mwandamizi kutoka Baraza la Kiswahili la Taifa nchini Tanzania, BAKITA anachambua maana ya neno Mkulivu. Mkulivu ni mtu je ni wa aina gani? Je ni mtu mwenye mdomo? mdomo wa aina gani? Fuatana naye.

Sauti
53"
UN News Kiswahili

Neno la Wiki- Azizi na Hiba

Wiki hii katika neno la wiki tutasikia kutoka kwa mchambuzi wetu wa kiswahili juma hili ni Mwanahija Ali Juma katibu mtendaji wa Baraza la Kiswahili Zanzibar , BAKIZA anafafanua maana ya maneno “AZIZI NA HIBA”

Sauti
48"
UN News Kiswahili

Neno la Wiki- “BARAWAJI”

Leo Aprili 12, 2019 katika kujifunza kiswahili katika neno la wiki mchambuzi wetu juma hili ni mhariri mwandamizi wa Baraza la Kiswahili Tanzania , BAKITA Onni Sigalla anachambua maana za neno “BARAWAJI”

Sauti
57"
UN News Kiswahili

Neno la Wiki- Hidaya

Na katika neno la wiki juma hili ni Mwanahija Ali Juma katibu mtendaji wa Baraza la Kiswahili Zanzibar , BAKIZA anafafanua maana na matumizi ya neno “HIDAYA” ambapo anasema neno hili lina zaidi ya maana moja.

 

Sauti
1'8"
UN News Kiswahili

Neno la Wiki- Methali Kandamizi kwa wanawake

Hii leo katika NENO LA WIKI, Mwenyekiti wa idara za Kiswahili katika vyuo vikuu Afrika Mashariki Aida Mutenyo  anatufafanulia methali za Kiswahili ambazo kwa mtazamo wake zinamkandamiza mwanamke katika jamii. 

  1. Mwanamke ni kama ardhi, yeyote anaweza kukaa.

  2. Mwanamke ni bustani na mwanaume ni uzio

  3. Mwanamke mpumbavu huvunja nyumba yake kwa mikono yake!

  4. Mke hafikirii zaidi ya kitanda anacholala!

  5. Maneno kwa mwanamke matendo kwa mwanaume!

Sauti
6'25"