Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Neno La Wiki

UN News Kiswahili

Neno la wiki- KAMSA

Je wafahamu maana ya neno 'Kamsa?' Basi hii leo Mhariri Mwandamizi kutoka Baraza la Kiswahili la Taifa nchini Tanzania, BAKITA, Onni Sigalla anafafanua kwa kina akisema kuwa neno hilo maana yake ni king'ora maalum. Hebu msikilize kwa makini.

Sauti
42"
UN News Kiswahili

Neno la Wiki- Baharia

Na sasa ni muda wa kujifunza Kiswahili na leo mchambuzi wetu anatoka Baraza la Kiswahili  la Taifa Tanzania , BAKITA ni muhariri mwandamizi  Onni Sigalla anatufafanulia maana halisi ya neno  "BAHARIA"

Sauti
1'