Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Neno la Wiki- “Mtambua ndwele ndiye mganga”

Neno la Wiki- “Mtambua ndwele ndiye mganga”

Pakua

Katika Neno la wiki hii Mchambuzi wetu ni mwanariwaya na mwanachama wa Chama Cha Kiswahili cha Kitaifa nchini Kenya, CHAKITA Ken Walibora ameangazia methali isemayo “Mtambua ndwele ndiye mganga”

 

Audio Credit
Ken Walibora
Audio Duration
53"
Photo Credit
UN News Kiswahili