Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Neno La Wiki

UN News Kiswahili

Neno la Wiki- Hidaya

Na katika neno la wiki juma hili ni Mwanahija Ali Juma katibu mtendaji wa Baraza la Kiswahili Zanzibar , BAKIZA anafafanua maana na matumizi ya neno “HIDAYA” ambapo anasema neno hili lina zaidi ya maana moja.

 

Sauti
1'8"
UN News Kiswahili

Neno la Wiki- Methali Kandamizi kwa wanawake

Hii leo katika NENO LA WIKI, Mwenyekiti wa idara za Kiswahili katika vyuo vikuu Afrika Mashariki Aida Mutenyo  anatufafanulia methali za Kiswahili ambazo kwa mtazamo wake zinamkandamiza mwanamke katika jamii. 

  1. Mwanamke ni kama ardhi, yeyote anaweza kukaa.

  2. Mwanamke ni bustani na mwanaume ni uzio

  3. Mwanamke mpumbavu huvunja nyumba yake kwa mikono yake!

  4. Mke hafikirii zaidi ya kitanda anacholala!

  5. Maneno kwa mwanamke matendo kwa mwanaume!

Sauti
6'25"