Wakimbizi wa ndani DRC wafarijika kwa kusaidiana:UNHCR
Wakati machafuko yakiendelea kusambaratisha familia na kuwalazimisha kufungasha virago nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo DRC maelfu ya wakimbizi wa ndani wanatafuta faraja kwa kusaidiana kupitia ushirika ulioanzishwa kwa minajili ya kuchagiza ulinzi wa haki za binadamu na kusaka suluh